Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

No dada yake Saint anne ndiyo kazaliwa 89 mie nikikutajia umri wa dada yangu wa kwanza mbona utakuwa unanisalimia shikamoo maana mimi na yeye hatujapishana sana
Mimi dada yangu wa kwanza anaweza kuwa mama yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa 76
 
Siku hizi wanasoma sana watu wa mikoani na wengi wametoka kidato cha sita..tofauti na zaman zilikua zinasoma pisi zinazotokea maofisini zenye diploma zao zinakuja kusaka degree,,basi palikua na balaa pale,toto linashushwa kwenye geti ndogo pale na ndinga kalii...mguu kashausugua mwenge huko unang'aa kweli kweli halafu kanyuka umin wa suti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi wana vaa madela tu kama wazazi
ndio maana mkuu 😂 😂 😂 😂 .
pale palikuwa nuksi ifm ilipokuwa on form. wale wajinga wa BOT,Hazina wameonea sana vijana pale!
pisi inapelekwa lunch Serena wewe ukaipeleke pale canteen ya chuo halafu unategemea uopoe?? 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maombi yana nguvu hasa ukiyafanyia kolabo na juju
Hiyo kolabo wataka kufanya Haki ya Nani italeta kimbunga Kenneth humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeah.
IMG_20191003_140642.jpeg
 
Back
Top Bottom