Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,735
Wala haisomi wangapi walipita
![]()
![]()
we acha tu mzee
ila si tunasema haina makombo mzee![]()
![]()
![]()
we acha tu mzee
ila si tunasema haina makombo mzee![]()
😂😂😂😂 nilipuliziwa moshi Bahati mbayaHakika.
Na Wewe umo kwenye genge wa wavuta Jani![]()
Hahhaah sio umbea dada naona marudiano ya nguvu apa kabisa sio kwa kukesha vile mpaka asubuhi na kazini sijui umeendajeAcha umbea ndugu yangu. Tulikutana kwa birthday jana. Yule ananitaka mpaka kesho kutwa![]()
kabisaaa maana ingekuwa tabu kweliWala haisomi wangapi walipita
Hiyo omba ya msamaha inatia hasira.
Atalia mwezakoshauri yako.



usinichonganishe na shosti yangu jamani mie nimejaribu kuwa mnyenyekevu kabisa kama ambavyo wanaume wengi humu wanataka wanawake tuwe sasa yeye akishikwa na hasira akakumbatie transformer tu hakuna namnaaiseee![]()
hebu nikumbushe initials zako maana kama vibuti nimekula visivyo hesabika pale
![]()
![]()
we acha tu mzee
ila si tunasema haina makombo mzee![]()
kuna wapenzi wa vibonge ujue 😂 😂ayayayay acha kabisa mimi ni chibonge cha kutupa
hahahahaha sasa tutafanyaje mzee baba hakuna namnaSio kwenyw kuoa aisee
we acha tuKumbe tulikuwa wengiiiii eeeee?
Na haitakuja kuwa na makombo!! Uzuri wa papuchi hata kama imetoka kutafunwa mda mfupi ulopita ukikutana nayo utamu unakuwa level ile ile ya mwanzo!! MUNGU saidia nisije kutana na papuchi ya JF! Haki ya MUNGU atakuja kufungua uzi hapa!!![]()
![]()
we acha tu mzee
ila si tunasema haina makombo mzee![]()
Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...
Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...
Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...
Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...
Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...
NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
naunga mkono hoja 😂 😂 😂Tunywe pombe tu![]()
hahahahahaNa haitakuja kuwa na makombo!! Uzuri wa papuchi hata kama imetoka kutafunwa mda mfupi ulopita ukikutana nayo utamu unakuwa level ile ile ya mwanzo!! MUNGU saidia nisije kutana na papuchi ya JF! Haki ya MUNGU atakuja kufungua uzi hapa!!
(Mkwara tu)