Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20210312-WA0144.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila maisha ya chuo jamani lol, huwa naomba sana Jah asaidie, nisipate sup, wala ku carry, ku disco najua haiwezi kuwa kamweeeh.
Mtu anasota chuo utadhan kaweka kambi khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa hujawahi kupata sup unaweza ona haya mambo simple. .siku ukiiipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi Kuna mwaka nilipata stress acha kabisa[emoji1787] nilipata sup,ndio ikawa Mara ya kwanza na ya mwisho,[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilinitia stress acha kabisa.
 
Channel ya Mwalimu Mwakasege huko Telegram baada ya kufunga magroup yote ya WhatsApp [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Back
Top Bottom