Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Tabasam langu siku ukinikubalia![emoji1][emoji1][emoji1]
Tabasam langu siku ukinikubalia![emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu uko MSD ??
Number zinakimbia kwa kasi sana.Aiseee tumeshafika DVT ??
Acha tuendelee kumtazamia BwanaTabasam langu siku ukinikubalia![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1723601
Kweli Vyuma havijakaza wallahNumber zinakimbia kwa kasi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli Vyuma havijakaza wallah
Vile namtumainia bwana wa majeshi![emoji1][emoji1][emoji1]Acha tuendelee kumtazamia Bwana
Nani Mabeyo Au ??Vile namtumainia bwana wa majeshi![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1723613
KarmaNani Mabeyo Au ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kibokooh khaaaaah. Hapana kwa kweli.Sisi wetu akikunasa nyavuni ndo unamjua alivyo
Anasema Kama umeshindwa kufaulu somo lake semester nzima miezi minne,haamini Kama unaweza kulifaulu kwa wiki moja ya supplementary..
Yaani haoni shida darasa zima kurudi September [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mkirudi kuchomoka ni Kama Mungu tu..aki ya nani sitamani tena shule[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol[emoji137]View attachment 1723532
Wee ananijengea ghorofa, kasema nimpe 8 yotee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitano tena
Kucha nzuri mno. [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabasam langu siku ukinikubalia![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1723601
🙈🙈🤣Wacha bwana! Na hiyo USER 552140 (number yangu ya usajili jf) inafanya nini hapo!View attachment 1723594
Hapo swadakta![emoji23][emoji23][emoji23] haya ya mume wa mtu yanakujaje tena lol.
Jamani khaaaaah, haya sawa umeeleweka. Mweeeeeh
Imeisha hiyoooooohHapo swadakta!