Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
SawaTulia wewe hakuna mwanaume asiekunywa pombe....kikubwa uvumilivu hahahaha, mdogo wangu hapo yupo kwenye njia sahihi. Maisha yafaa nini bila pombe?
Hayafai kitu bila pombe
SawaTulia wewe hakuna mwanaume asiekunywa pombe....kikubwa uvumilivu hahahaha, mdogo wangu hapo yupo kwenye njia sahihi. Maisha yafaa nini bila pombe?
[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Tangazo saa ngapi sasa,?View attachment 1724086gud morning olo
[emoji23][emoji23]Naomba uselfike dada mzuri
LoadingLoading....View attachment 1699649
CongratsOne step at a time..[emoji120]View attachment 1724094
Congrats
Ukamaliza kama hutembelei makalio fanya hima
Barikiwa na zaidi..nakuombea Mwaka usiishe kabla Mungu hajatenda huu muujiza
Inakuaje ?Saint Anne uliniponza ujue [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kaja rafiki yako basi kapita na like tu kama hajaona kitu vile
Mishe imekwama ngoja nimove on niangazie watu wengine lbda nitapata [emoji18]