Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Sisi wetu akikunasa nyavuni ndo unamjua alivyoNimekumbuka advance Sir wa math, alikua ana kigugumizi sasa hasira na gubu ndo kwake, akiwa class akiongea au kuelezea kitu, sasa wanafunzi wakicheka atasema hivyo tutaktan kwenye test, chini ya 70 nafia mtu,
Bas atatoa test utakuta wa kwanza ana chini ya 70.. Jamani atatandika fimbo km chizilol. Yaan class zima linanuka stick tyuuuh mweeeeh. Sitamsahau kamwee lol.
Anasema Kama umeshindwa kufaulu somo lake semester nzima miezi minne,haamini Kama unaweza kulifaulu kwa wiki moja ya supplementary..
Yaani haoni shida darasa zima kurudi September





Na mkirudi kuchomoka ni Kama Mungu tu..aki ya nani sitamani tena shule





Sio mimi ni Anni huyo kaedit post yangu.
...zawadi yako hio.

