Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
finally
Mwanzo mzurii...ukifikia kwenye kuweka miguu unitag mamiii
utasubiri sana!!!
Vidole huwa naweka sana tu sio mara ya kwanza leo
finally
Mwanzo mzurii...ukifikia kwenye kuweka miguu unitag mamiii
Dada mkubwa nae kaamua kutupia vitu!Alaaaaah,kwani sh ngapi!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada mkubwa nae kaamua kutupia vitu!Alaaaaah,kwani sh ngapi!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani Mabeyo Au ??
Yaani yule unadisco anakuona hivihivi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kibokooh khaaaaah. Hapana kwa kweli.
Afu ukute mtu anasema chuo simple tyuuh, mwendo wa kula bata, huwa najiuliza vyuo hivi hivi au mie ndo sielewi. Lol
Nambie Ngosha
Akufukuzae hakuambii ondoka!😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshamba huyo anasababishia watu msongo wa mawazo.Yaani yule unadisco anakuona hivihivi.
Carry over yake usipokaza kusoma,usitegemee atakuokoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu haoni shida kutandika watu carry-over mwaka wa mwisho [emoji23][emoji23]
Kuna watu walikuwa wanatia huruma jamani.. mtu unarudi kusoma chuo nwaka wa ziada kisa somo lake. .
Na vile umekaa chuo miaka miaka,unakuta hadi watoto uliowaacha chekechea wanakukuta chuo kikuu bado unasoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Pona pona yake ufaulu UE ,asikukamate.
We acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa hana huruma hata kidogo!mkavuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshamba huyo anasababishia watu msongo wa mawazo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee ananijengea ghorofa, kasema nimpe 8 yotee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vipi mkuuNambie Ngosha
Yani huko vyuoni kuna walimu wana roho ngumu sana wanasababisha baadhi ya wanachuo wawe na depression hahaha!We acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa hana huruma hata kidogo!mkavuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikawa nawaza akinikamata mwaka wa mwisho aisee[emoji119]ningekufa kwa presha.
Yaani nimalize halafu nirudi tena kusoma carryover??badala mtu uwaze internship,unawaza kwenda kusoma carry[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kuna madogo watakuja kufa kwa presha hivihivi [emoji1787][emoji119]
Bado haijanishinda[emoji23]..Saint Anne mission impossible
Mchumba[emoji8]Bado haijanishinda[emoji23]..
Wewe nipe muda
Leo nilitingwa sana...
Mkwepu lazima aje hapa [emoji2960]
Utakuwa wizoo wangu mimi jamania[emoji2956][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila maisha ya chuo jamani lol, huwa naomba sana Jah asaidie, nisipate sup, wala ku carry, ku disco najua haiwezi kuwa kamweeeh.Yaani yule unadisco anakuona hivihivi.
Carry over yake usipokaza kusoma,usitegemee atakuokoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu haoni shida kutandika watu carry-over mwaka wa mwisho [emoji23][emoji23]
Kuna watu walikuwa wanatia huruma jamani.. mtu unarudi kusoma chuo nwaka wa ziada kisa somo lake. .
Na vile umekaa chuo miaka miaka,unakuta hadi watoto uliowaacha chekechea wanakukuta chuo kikuu bado unasoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Pona pona yake ufaulu UE ,asikukamate.
Ndio ule muda unaomba upate hata 'C' tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaiomba ishuke ije Kama unavyoomba ufalme wa Mungu uje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisaaah yaan.Mshamba huyo anasababishia watu msongo wa mawazo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee cc bhana lol.We acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa hana huruma hata kidogo!mkavuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]