ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,494
- 126,783
Noma sana!!!
Noma sana!!!
Sasa sijui nirudishe majeshi kama ushaanza kutuelewa walevi[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa
Hayafai kitu bila pombe
..anamparua[emoji23]Anamfinya? Anampapasa au wanagombana?
Kwendraaa... Muache ndugu yetu abaki na mpenzi wa kweli 🍺🍺🤣[emoji174]
Sawa, endelea
.. feelings zake hapo mdau atanguruma kama trekta linalopanda mlimaNa kumfinyanga[emoji23]
Kuna uhusiano gani kati ya avatar yako na wewe?Ata simfahamu
Mumeamua kuniweka kikaangon leoKuna uhusiano gani kati ya avatar yako na wewe?
Oky bado swal sijalielewa una maanisha niniKuna uhusiano gani kati ya avatar yako na wewe?
Binamu una deni unajua kale kastory kule vipi hujakadondosha ka kimasiharaOky bado swal sijalielewa una maanisha nini
Hahahaha namaanisha ni wewe huyo?Oky bado swal sijalielewa una maanisha nini
Unateseka bure tu wakati mimi niko hapa!Saint Anne uliniponza ujue [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kaja rafiki yako basi kapita na like tu kama hajaona kitu vile
Mishe imekwama ngoja nimove on niangazie watu wengine lbda nitapata [emoji18]
Jamani polee cc, ila sup inauma mnooh, km una roho nyepesi unaweza kesha unalia siku nzima yaan. Hawa lecturers mda mwingine wanaona sifa kufelisha watoto wa watu. KhaaaaahUkiwa hujawahi kupata sup unaweza ona haya mambo simple. .siku ukiiipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi Kuna mwaka nilipata stress acha kabisa[emoji1787] nilipata sup,ndio ikawa Mara ya kwanza na ya mwisho,[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilinitia stress acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sanaaahOne step at a time..[emoji120]View attachment 1724094
Yupo shemelaaaaah wa Taifa. Nimefurahi sana yaanNimekaona ka rotimi mdee humo [emoji2][emoji2]View attachment 1724301