B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
😅 😅 😅Ushapata mke sasa. Au unasubiri malaika aje akushike mkono mpaka kwake huyo Mtakatifu[emoji23]
Bruhhhhhh
😅 😅 😅Ushapata mke sasa. Au unasubiri malaika aje akushike mkono mpaka kwake huyo Mtakatifu[emoji23]
Kuishi vyote hivyo kuna hijati msaada mzito waroho wa mungu.Upendo ni amri kuu na ya kwanza iliyojumuisha amri zote.
Injili Kama ilivyoandikwa na Marko Mtakatifu 12:30
"Nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote,na kwa roho yako yote,na kwa akili zako zote."
Kuhusu kujali
Marko12:31b
"Mpende jirani yako Kama nafsi yako"
Sifa za upendo;
Soma waraka wa kwanza wa Paulo Mtume kwa Wakorintho 13:4-8
Upendo;
•Huvumilia
•Hufadhili
•Hauhusudu
•Hautakabari
•Haujivuni
•Haukosi kuwa na adabu
•Hautafuti mambo Yake
•Hauoni uchungu
•Hauhesabu mabaya.
•Haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli
•Huvumilia yote
•Huamini yote
•Hutumaini yote
•Haupungui neno wakati wowote;bali ukiwapo unabii utabatilika;zikiwapo lugha zitakoma;yakiwapo maarifa,yatabatilika..
. . . . . . . . .
Huwa nashangaa Sana mtu anakwambia anakupenda halafu sifa ya kwanza kabisa ya upendo ambayo ni uvumilivu hana.
Rum 8:36aKuishi vyote hivyo kuna hijati msaada mzito waroho wa mungu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe siyo mzima
[emoji23][emoji23][emoji23] nilifichwa na utaftaji bibie[emoji23][emoji23][emoji23] miss u Mr, nani alikuficha jomoneeh lol, barakoa hiyo nazuia corona.
Kalumbu [emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
hahahahaha nimecheka sana....jamaaa kaandika makala ndefu mnoo jibu linakuja kwamba yy sio MZIMAKalumbu [emoji23]
Mambo
Sasa ningefanyaje?wakati namuona si mzima[emoji1787]hahahahaha nimecheka sana....jamaaa kaandika makala ndefu mnoo jibu linakuja kwamba yy sio MZIMA
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Watu wanamahaba na upenzi/chuki/nyongo nyingi sometimes wanaonyesha hisia zao kwenye kila kitu,Sasa ningefanyaje?wakati namuona si mzima[emoji1787]
Kama yeye tu aliyocomment jibu fupi kwenye essay yangu pale juu.
Akasema msitari nilioweka ni fake.
Wow [emoji56]kumbe kuna kutumiana vimemo humu [emoji28][emoji28] wacha na mimi nisake wa kumuandikia
Ata me nimerudi wallah, mbinu nzuriHii ni njia ya kuwarudisha watu jukwaani [emoji23][emoji23]
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Mwaya kupendwa rahaMkuu naskia rahaa sana
Siasa zinafanya watu wawe kama wanyama.Watu wanamahaba na upenzi/chuki/nyongo nyingi sometimes wanaonyesha hisia zao kwenye kila kitu,
Mistari uliyoweka sio fake lakini mahaba/hasira zake zinamjibia.
Morning.
[emoji4] AkhsanteWow [emoji56]kumbe kuna kutumiana vimemo humu [emoji28][emoji28] wacha na mimi nisake wa kumuandikia
Vizuri mpenzi una kamwandiko katamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata me nimerudi wallah, mbinu nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]