Mmmmmmmh.....
Dunia tunapitaaaa kila kitu kitabakiaaaaaa binadamu ni mchanga×3
Teh!!Itabaki milelee milimaa
Teh!!
Majivuno ya niniiiiii!!......
Habari ya uzima mpendwa
unajua ku zoom eeeeh...Aah na mimi nimetokea kwa screen
PoaHahahaha, asee nitakutafuta best
Hizo mboga zimekusababisha ukose ushindi kwenye kinyang'anyiro cha juzi cha ndugu yetu yuleee...Ninakula sana mboga za majani![]()
Hizo mboga zimekusababisha ukose ushindi kwenye kinyang'anyiro cha juzi cha ndugu yetu yuleee...
Maana sifa ya ku interact na wengine kwenye matani ndio ilikunyima na kukuondolea point 5 za mezani..
sema shukuru Kwasababu hata zawadi ya ushiriki inatosha..Achana na hizo mboga nakwambia usije ishia kuwa mshiriki kila siku,shauri lako.
Utashindwa kupumua umejificha sana


Acha tu nisubiri kuona sifa na chumvi na ndimu atazoziweka na kuongeza juu yako🤣Hahahahhahahaa aisee nimecheka sana.
Kuna mpendwa ameniambia anani-crush, ndiyo yupo ananiandikia uzi wangu sasa, ushindi wangu waja
Acha tu, mimi mwenyewe nausubiri kwa hamuAcha tu nisubiri kuona sifa na chumvi na ndimu atazoziweka na kuongeza juu yako![]()




Za mimi njema/salama kabisa mkuuNzuri kabisa mpendwa, za wewe?