qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,739
Mh nisha mpata ila shida nikwamba hajuaji kuquote hvo nitajichosha tu kuandika na kuremba mwandiko[emoji4] Akhsante
Tafuta wa kumtumia,
Inaongeza utamu wa uzi
[emoji28]
Mh nisha mpata ila shida nikwamba hajuaji kuquote hvo nitajichosha tu kuandika na kuremba mwandiko[emoji4] Akhsante
Tafuta wa kumtumia,
Inaongeza utamu wa uzi
Na yeye anazingua uqueen na uking sijui uliishiaga wap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gerald anamsakama mchumba wangu.
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23]Mh nisha mpata ila shida nikwamba hajuaji kuquote hvo nitajichosha tu kuandika na kuremba mwandiko
[emoji28]
Kwa kweli ngoja tumuulize[emoji23][emoji23][emoji23]Na yeye anazingua uqueen na uking sijui uliishiaga wap
Hakuwa serious sa hv anasumbua mahaba ya watu geraldincredible
Am doing well, nimejifunza kitu leo kumbe maneno matamu muhimu.Siasa zinafanya watu wawe kama wanyama.
Inasikitisha sana.
How are you crush [emoji171]?
😅Mh nisha mpata ila shida nikwamba hajuaji kuquote hvo nitajichosha tu kuandika na kuremba mwandiko
[emoji28]
Maneno matamu yanakolea asikwambie mtu!Am doing well, nimejifunza kitu leo kumbe maneno matamu muhimu.
yule ata utumie mbinu za kijesh aisee...me nisha muachia mungu[emoji23]Mwee[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamfundisha tu,mbona tatizo dogo hilo!
Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yule ata utumie mbinu za kijesh aisee...me nisha muachia mungu[emoji23]
Bora umenijuza wewe, nijiongeze mapema😉.Maneno matamu yanakolea asikwambie mtu!
Mimi huwa naangalia kwanza kauli kabla sijaendelea na mengine.
........“Nyinyi hamjui kitu! Je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?”(Yohana 11:45-57)Watu wanamahaba na upenzi/chuki/nyongo nyingi sometimes wanaonyesha hisia zao kwenye kila kitu,
Mistari uliyoweka sio fake lakini mahaba/hasira zake zinamjibia.
Morning.
Maneno ndio yanayofanya mtu aifeel sauti ya mtu.Bora umenijuza wewe, nijiongeze mapema[emoji6].
Sauti je?
Jamn nifundishe basi...[emoji17][emoji17]Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda naye taratibu tu...unajua wanawake tuna nguvu ushawishi Sana,ni wewe ushindwe kuitumia.
Ukisoma hizo verses na chapter nzima,utagundua Mtu anayeongelewa hapa kwamba afadhali afe ili taifa lisiangamizwe ni Yesu.........“Nyinyi hamjui kitu! Je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?”(Yohana 11:45-57)
Kama hivihivi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamn nifundishe basi...[emoji17][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekwambia yule kuquote hawezi huwa ni msomaji tu..sio kwamba hajui kuquote ila naona hatakigi tu mazoea na watu[emoji3]Kama hivihivi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stori stori kama utani baadaye unachomekea mafunzo.
Kwa style gani sasa[emoji28]
Unamfundisha
aisseee[emoji119][emoji119][emoji134]Sasa nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekwambia yule kuquote hawezi huwa ni msomaji tu..sio kwamba hajui kuquote ila naona hatakigi tu mazoea na watu[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata pm hajibu [emoji134] akikuurumia sana anakujibu baad ya mwezi[emoji41][emoji41]aisseee[emoji119][emoji119][emoji134]Sasa nimekuelewa
Hapo sasa sijui umfate PM tu!