Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nimepata wivu mkali sana kwa sista angu wa mbeya.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]



ww jack umeacha bia kweli??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameacha jamani

Halafu upendo ulianza tangu mwaka jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haujaanza ghafla juzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee Kalumbu kwahiyo unataka kunigombanisha na Billy kaka yako?
nimescreen shot.....hakika mtagombana


yani Jack keshakua soulmate kisa kaacha bia


kalumbu naacha Pombe rasmi


i nid somebody to call me soulmate

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
nimescreen shot.....hakika mtagombana


yani Jack keshakua soulmate kisa kaacha bia


kalumbu naacha Pombe rasmi


i nid somebody to call me soulmate

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Usinigombanishe na mwanangu Billy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni muelewa sana...wewe screenshot tu
Ukimuonyesha hatakuelewa ng'ooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwezi kuelewa,mixer mwandiko mzuri..niandikie lolote nitumie pm,niprint na kuitengeneza frem kabisa if you don't mind..
Huo mwandiko kama wa bata uuprint jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kuandika tu!usijali
Pendekeza mwenyewe,nikuandikie nini?
 
Back
Top Bottom