Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,177
Niliingia wewe, sasa nimejuaje utamu wa mule ndani kama sijaingia.Bora hata hukuingia maana wale wabunge wasingekuacha hivi hivi
Niliingia wewe, sasa nimejuaje utamu wa mule ndani kama sijaingia.Bora hata hukuingia maana wale wabunge wasingekuacha hivi hivi
Hahaha naona umejitahidi kujizuia kidogoHahahah ni wewe unasema ila me sijaamua, sijataka kumboa kabisa
😳😳Kumbe?!?Niliingia wewe, sasa nimejuaje utamu wa mule ndani kama sijaingia.
Weka pm bwana..... unajifanya kama hujui vileNimeweka jana kaka shemeji.
Weka pm bwana..... unajifanya kama hujui vile
Hahahhah daah labda ulifuta madam..Hata mimi nimeweka boss.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nilicheka mie Jana lakin uongo mbaya niliamua kujizuia tu kwa kiwango cha flyover, nikakumbukaaaa nikasema Aloooo kweli nyani hawajai kuona Ku***leHaswaaaa!
Huyu si yule alifungua uzi sijui wadada wa jf wachfu, sijui kucha chafu akapost na picha ya kucha zimepakwa rangi tena jelly nzuri tuu rangi ya kike ya pink akasema huyo dada mchafu?
Nikajisemea kama zile kucha zina uchafu basi mpenzi wake ni malaika , siamini nilichokiona kwa kweli. Ndio maana siamini wakosoaji wa mitandaoni. Kashfa nyingi mitandaoni kumbe hamna kitu.
Naituma sasa hivi.
Naomba niruke
Mr perfect hivi si ni wewe uliwekaga uzi hapa jf ukimsema mdada wa jf tena ambae kucha zake zimepakwa rangi na ni safi kabisa!!!!!




Ofcourse wapo watu wanaonisifia kuwa mimi ni mzuri maana unajua uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji yawezekana mimi nikijitazama sijioni mzuri ila wapo ambao wakinitazama wananiona mzuri siwalaumu na wakinisifia huwa najibu tu asante ila moyoni najua kabisa siyo kweliunakosea sana kutojikubali aisee..
Kama wewe ulivyo na vigezo vya uzuri ndivyo na kila mtu alivyo na vyake.
Wewe hujikubali Ila Kuna watu huko ambao unawapagawisha si kidogo ujue yawezekana bila hata wewe kujua
Yap ila kwa vibali, kuna masharti hadi wanaboa.
Ila ukiingia mle Bungeni ndani ukikalia vile viti kwa muda unasahau shida zako zote



ndiyo maana kuna wananchi wanawachukia viongozi aiseNilicheka mie Jana lakin uongo mbaya niliamua kujizuia tu kwa kiwango cha flyover, nikakumbukaaaa nikasema Aloooo kweli nyani hawajai kuona Ku***le
Funika kombe babe mwanaharamu apite![]()








Ngoja nianze kutembea kuelekea tigo pesa.Nirukie pm sitanii nitaifanya siku yako
Ile kuamka bado kinda halafu siyo wa geti kaliEarly this morning
Holiday. View attachment 1222380
CardiovascularMr perfect hivi si ni wewe uliwekaga uzi hapa jf ukimsema mdada wa jf tena ambae kucha zake zimepakwa rangi na ni safi kabisa!!!!!
Vipi hizi kucha za mkeo?
Kweli nyani haoni kundule!!!
Hizo ndiyo kucha za mrs perfect??