Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unataka niungue.

Unataka nipotelee kwenye mikono ya watu wasiojulikana[emoji102][emoji102].

Baba yako jiwe unayemteteaga kila siku ametufanya tuishi kama tuko uhamishoni na kumkosoa hatuachii na hizi fake ID ndio ngao yetu
Nitakulinda pulizii.
Chitchat hii jamani...hautapotea[emoji8][emoji8]
 
Halafu hiyo ipo sana , babe akikupiga hana haja ya kukuandaa maana automatiki unalowa[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji2]
IMG_20190711_074207.jpeg
 
Mkuu si turudi tu kwenye uzi wa wagumu ASAS...huku kuna wenyewe
[emoji1] [emoji1] Mi tayari mkuu, japo kwa leo sijatupia. Ila soon picha ina kuja. Kuna lady ali appreciate vien zangu jana ko ni mwanzo mzuri
 
Back
Top Bottom