Huyu akichangia harusi ni mtu wa kuwa nae makini.Yaa, samaki analiwa hivyo mkuu[emoji1787]
Aah kwahio sie kwa vile hatupost mitungi sio π unajifanya upo na ustazi kumbe ulinipiga kunga πSheikh yupi tena jamani...
Sio kutoka tuπ π najiwachia kabisa.
Hahahah mbwa anaperuz mtandaoni dah...Kweli ulaya ulaya wakati huku kuna binadamu hata nafasi ya huyo mbwa hawana katika maisha.
Hahahah ulaya bana hadi ndizi zina branding makini kabisa πππAfe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu [emoji51][emoji51][emoji51]
πππππππ nimecheka kinoma asee!!!
Naona Mrusi kaumia πππStill on bed counting my blessings View attachment 1693968
Ina maana nyama zote hizo zilipikiwa kwenye hizo ndizi nizionazo hapo au kuna nyingine zimejifichaAfe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu [emoji51][emoji51][emoji51]
π[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] hadi minyoo tumboni imetikisika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona Mrusi kaumia [emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa kamba ile kupunguza usumbufu π π π πAah kwahio sie kwa vile hatupost mitungi sio π unajifanya upo na ustazi kumbe ulinipiga kunga π
Sasa nafungua Turbo kwa kasi, jiandae be it the easy way or the hard way π!!!Ilikuwa kamba ile kupunguza usumbufu π π π π
Weee usiniambie bhanaSasa nafungua Turbo kwa kasi, jiandae be it the easy way or the hard way π!!!
[emoji23][emoji23]Huyu akichangia harusi ni mtu wa kuwa nae makini.
Tutahakikisha wana kamati wamepakua kwanza πππ[emoji23][emoji23]
Mchele wenyewe uko wap?! ππMi hata sielewi ujue...
Hebu mwaga huo mchele MJ.ila kama unamawe kibao kitageuka
Haswaaaaaah dea, yaan hunitoi hapo wallah[emoji3]
Ohhh na wewe ni mpenzi??[emoji846][emoji846]