Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,865
- 831,161
- Thread starter
- #89,941
Maslahi ya kiroho kwenye matokeo tasa ya kimwili yaliyoharibika
www.jamiiforums.com
Maslahi ya kiroho kwenye matokeo tasa ya kimwili yaliyoharibika
Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila siku uwepo wake ni kinyume cha miungu ile ya kuchonga ile inayoonekana kwa macho..... Hata haya macho...




