Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
The Wolf Hebu tutafutane brother..Zanzibar terminal 3View attachment 1695552
Au ni mpka kanda ya kaskazini mwezi wa kumi na mbili eee
The Wolf Hebu tutafutane brother..Zanzibar terminal 3View attachment 1695552
Siwezi bananishwa The Wolf ..nilisharudi nikaja tena,nikirudi bara tena basi ili mradi tafrani tu.Ha ha tangu ulivyoenda zanzibar hujarudi tena...utakuwa umebananishwa tuu na maalim wa huko hata markiti huendi
MaalimThe Wolf mbona unaua sana ndugu yangu😅😅😅nani kanibana tena jamani😅😅
Inawezekana maalim ukawa wewe..who knows 😊Maalim
I wish I could be aijipiiInawezekana maalim ukawa wewe..who knows 😊
Hakuna cha kuwish..ndo wewe maalimI wish I could be aijipii
Sheikh yupi tena jamani...Ha ha mimi nipo hapa sasa hivi nitakuja March kama sheikh akisafiri si unaweza kutoka?View attachment 1695554
We unasema tuu, huko ukikutwa na mke wa mtu unapelekwa jela (chuo cha mafunzo), na huafai katika jamii bora huku bara unakatia konyagi hutaki mazoea baada ya wiki wamesahauSiwezi bananishwa The Wolf ..nilisharudi nikaja tena,nikirudi bara tena basi ili mradi tafrani tu.
haiwezekani mimi kubananishwa huku
![]()
Sijawolewa bhana 😅😅😅kuwa free tukajiachie huko nungwi😎maisha ndo haya haya brother.We unasema tuu, huko ukikutwa na mke wa mtu unapelekwa jela (chuo cha mafunzo), na huafai katika jamii bora huku bara unakatia konyagi hutaki mazoea baada ya wiki wamesahau
Unataka nipelekwe chuo cha mafunzo weweSijawolewa bhanakuwa free tukajiachie huko nungwi
maisha ndo haya haya brother.
Hebu toa woga tukajipigie zetu nyagi



Nnakuja march kama ukiwepo itakuwa poa sanaSijawolewa bhanakuwa free tukajiachie huko nungwi
maisha ndo haya haya brother.
Hebu toa woga tukajipigie zetu nyagi
Ahaaa wapi!!si kwa wanawake wa bara😅😅😅Unataka nipelekwe chuo cha mafunzo wewe![]()
Poaa shem za hukoShemeji mambo?![]()
nzuri...nilikua kwenye garage yenu leoPoaa shem za huko
Ooh ok! Mbona hukunishtua mkuu😉nzuri...nilikua kwenye garage yenu leo
niliogopa kupgwa spana na mzee wako mkuuu.....Ooh ok! Mbona hukunishtua mkuu![]()
wanaseifika tuu... 😀Hapana mkuu hata sipo hapo, hta ningekuwa huko ningemuonea wapi?kabananishwa na maalimu wake huko