Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,810
- 831,020
- Thread starter
- #90,081
Afe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu![]()

nyama je
Afe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu![]()

nyama je
Kwel yan... Mwenza RafikiWacha maneno mengi rafiki mwenza
Afe kipa afe refa leo ndizi lazima ziliwe...
View attachment 1694788
Mrejesho...zilitoka ngumu kama ugali wa Kisukuma ila zililiwa hivyo hivyo tu![]()

Si bure lazima kuna mkono wa mtu hapa aisee

Nazo pia naona hazikuiva sawa sawa...Nimeambiwa eti inabidi kupika nyama pembeni halafu ikiiva ndo unachanganya na ndizi.nyama je
😃😃😃siku unaanza vyema sanaa...tayari kaka na Mungu pia
Ohooo
Sijasahau ulitoa ahadi kama tatu

Tena kabisaah hadi nimeogopa, maana mie na kupigwaa ni tofauti haswaaah

Ila walevi waache waitwe walevi
Sikujua kama mtu akinywa pombe anachangamka Sana mdomoni![]()

sasa akilewa ndo anakua real yaan.
Ila walevi waache waitwe walevi
Sikujua kama mtu akinywa pombe anachangamka Sana mdomoni![]()