Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umpendae ndio kashika funguo za mateso yako, kupenda ni kumpa mtu furaha yako.
Ujinga wa hivyo nilishauacha tangu 2020..
Kuna mtu alishawahi nitesa,anajibu anavyojisikia..unamvumilia mtu mwaka mzima ukijua atabadilika kumbe wapi!
Nikajifunza tabia ya mtu huwezi ibadilisha..

Aisee siji kupenda tena kifala vile,nitampenda atakayenipenda..asiye thamini upendo unaachana naye..yanini nijipe presha ningali ni kijana mdogo sana,mbichi kabisa Tena Safi kabisa tayari kwa kuanza safari..ninayo nafasi..watu wapo wengi sana hii dunia
 
😀😀😀😀za kujinoa kama simba...

Kikubwaa andaa chakorii super cup chagua watu wako kama behaviorist panga siku mashindano yaanze..

Anza kujinoa😀😀
😅😅😅😅😅ujue wewe ni chizi..mbona umemtaja huyo na si mwingine...ngoja nimuite..😄😄
 
0D2DA7DD-BBFE-434C-A963-CB029366EB9E.jpeg
 
Ujinga wa hivyo nilishauacha tangu 2020..
Kuna mtu alishawahi nitesa,anajibu anavyojisikia..unamvumilia mtu mwaka mzima ukijua atabadilika kumbe wapi!
Nikajifunza tabia ya mtu huwezi ibadilisha..

Aisee siji kupenda tena kifala vile,nitampenda atakayenipenda..asiye thamini upendo unaachana naye..yanini nijipe presha ningali ni kijana mdogo sana,mbichi kabisa Tena Safi kabisa tayari kwa kuanza safari..ninayo nafasi..watu wapo wengi sana hii dunia
Ulichokisema ni kweli na kinaumiza wengi sana,
Tatizo moyo unapofia hapathaminiwi, mara nyingi.
Ona hii;
Sio mpka nimpende nataka ni pendwe na awe na vigezo fulani fulani!!
-nataka awe na sifa ninazo zihitaji tu, moyo kaa pembeni
Mfano wa sifa e.g

Mcha mungu, mwenye kujali, mkweli, sio mvivu etc.
 
Tatizo wanaume mkishagundua mnapendwa mnaanza jeuri.
Unampenda mtu hadi unaanza kupingana na imani,unataka hadi kujaribu kuvunja baadhi ya misimamo uliyojiwekea...
Ah sema Mungu naye ana akili,akihundua unataka kutoka kwenye mstari basi lazima afanye namna aondoe kikwazo kinachotaka kukutoa kwenye line.

MUNGU atatimiza haja ya moyo wako,Muombe bila kuchoka.

Ila kuhusu bluetick huwa sijali kabisa.
Mtu akinibluetick mbona fresh tu,asiponijibu basi miaka na miaka itaenda baadaye nina utaratibu wa kufuta contacts ambazo zinaongeza ujazo kwenye simu yangu.
 
Back
Top Bottom