Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kwahiyo mtakatifu unaniuza Kwa vochaHeeyaani bila ile picha sipewi hela
![]()
Kwahiyo mtakatifu unaniuza Kwa vochaHeeyaani bila ile picha sipewi hela
![]()
Huwa naassume ametimgwaBasi mtu akikublue tick utakua unaumia sna.
Ndiyo
Kwahiyo mtakatifu unaniuza Kwa vocha




Mimi mzuri wa kutiangalia status hapo vipi,lakini text na reply instant.Huwa naassume ametigwa
Ila mtu akinifanyia hivyo makusudi Basi naye ajiandae..yaani marudishia..na hivi mm ni mzuri wa kuweka status,msg Zako nafungua na naendelea kutupia status zangu huko.
Hakuna haja ya fisiNgoha nitafute fisi wa kuja naye
Hata usipoangalia ni sawa tu!Mimi mzuri wa kutiangalia status hapo vipi,lakini text na reply instant.
Jiji la ajabu sana.Tuache na dodoma yetu
Sema nimemiss matoki
Pole Elli RafikiWapendwa wangu nahitaji maombi yenu maana naumwa malaria kali na damu imekuwa nyingiView attachment 1688075
Me navo jua status inawekwa ili watu waone, isipo-onwa lengo halijatimia.Hata usipoangalia ni sawa tu!
Maana status naweka kwa ajili yangu na furaha yangu binafsi...ila usiponijibu msg basi na mm nitafanya hivyohivyo..nasoma natembea.
Na siwezagi kumuandikia mtu msg nyingine Kama ya nyuma tu hakuijibu.
Uhuru wa maoni
Siyo lazima ionwe na mtu aliyenibluetick.Me navo jua status inawekwa ili watu waone, isipo-onwa lengo halijatimia.
na mimi kidogoWa baba angu![]()
"Tulidhamiria kuwaalika Yanga kwenye mashindano haya, lakini baada ya majadiliano tukafuta mango huo"- BarbaraView attachment 1688220
Hahaha,Siyo lazima ionwe na mtu aliyenibluetick.
Wataona wengine
Buheri wa afya kabisa,Sijambo Narcotic
Habari ya uzima wako?