Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Inawezekana
Inawezekana
Watu wa dunia hii wakigundua weakness yako wanakunyanyasa sanaInawezekana
A wapiWatu wa dunia hii wakigundua weakness yako wanakunyanyasa sana
Umpendae ndio kashika funguo za mateso yako, kupenda ni kumpa mtu furaha yako.A wapi
Sinyanyasiki kizembe.
Mpende akupendaye asiyekupenda achana naye.
Unatumia app au browser?
Huu msemo uliondoka na waliopignia Uhuru.A wapi
Sinyanyasiki kizembe.
Mpende akupendaye asiyekupenda achana naye.
Unatumia app au browser?
Sipendi nikitumia app, kuna maneno kama signature sijui sent from jehdhsbshsvdvsBrowser Mkuu
amia kwenye browser tuuSipendi nikitumia app, kuna maneno kama signature sijui sent from jehdhsbshsvdvs
Nataka ni disable maelekezo please
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
😀😀😀😀za kujinoa kama simba...Kwani ulikuwa unataka kuandika nini mbona umefuta furaha sana na wewe😅😅
Sasa mechi za kirafiki na Rafik gani😄😄nitakukata makonzi
Sijawai tumia app mkuu
Sawaa nakuja...Hakuna haja ya fisi
Ni Salama kabisa
😀onesha mfanoChat na picha
Wewe tuseme tu wakati daily unashinda Square pale kama upo parokianiJiji la ajabu sana.
Hasa sisi wazungusha karanga yaani jua linatubabua utadhani tumeanikwa.
Like father like daughter sio😀Ni ankali wangu huyo kwahiyo mulemule😅😅