Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Roho mbaya ni asili yangu ujue 😆😆😀😀😀wewe si unanifanyia roho mbaya siku hizi nitamalizaje sasa...
Roho mbaya ni asili yangu ujue 😆😆😀😀😀wewe si unanifanyia roho mbaya siku hizi nitamalizaje sasa...
Sasa hapo atawezana kwel kukata pande lanyamaWacha bhana [emoji28][emoji28][emoji28]
Nataman kuita mtu....Roho mbaya ni asili yangu ujue 😆😆
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ni nini kimehapeni [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuona mamba kibogoyo basi jua kifo hakipo mbali nayeView attachment 1688166
Za juzi nadhani nilijibu quote zako zote..au kuna niliyoirika?My bad basi ni juzi,
Enwei ile uliyopost jana ni tamu gani?
Jipeleke tuone😄😄Sasa hapo atawezana kwel kukata pande lanyama
Ita wote lkni si kipenzi changu 😆😆😆Nataman kuita mtu....
Sema sipendi kuona talaka😁
Mtoe tu!mtatuua sasaw hatuna pa kupumua
Weee usiniambie...ni mpe namba yako akutumia chap kwa haraka!!😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nijipatie hela hapa ya chapchap
Si ndo hapo sasaNyama yenyewe iko wap...
😁
Huyo ni Mungu... AseeeMtoe tu!
Hata Mungu aliupenda ulimwengu"AKAMTOA"mwanawe wa pekee.
Nyie ni nani tena jamani hadi msitoe [emoji23][emoji23]
Pole sana.Wapendwa wangu nahitaji maombi yenu maana naumwa malaria kali na damu imekuwa nyingiView attachment 1688075
😂daah...Weee usiniambie...ni mpe namba yako akutumia chap kwa haraka!!😅😅😅
Utakula mitama kijana ujue😅😅
Wapendwa wangu nahitaji maombi yenu maana naumwa malaria kali na damu imekuwa nyingiView attachment 1688075
Ukinilisha nitashiba🙄Utakula mitama kijana ujue😅😅
Haki nimemmiss kipenzi changu🥺🥺🥺sijui nanikamkaba kiasi hiki😅😅
Jf siami😂Ngoja nikupe namba ya sangoma ww utakuwa umerogwa na jirani yako baada ya ww kufanikiwa kununua zulia