Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Juu huko zipo nyingi sana..Buheri wa afya kabisa,
Nimetafuta thread nzima sijaon selfika ako ata moja mam.
Na kikubwa huwa sizifuti..
Juu huko zipo nyingi sana..Buheri wa afya kabisa,
Nimetafuta thread nzima sijaon selfika ako ata moja mam.
Kwa hisani yaJuu huko zipo nyingi sana..
Na kikubwa huwa sizifuti..
Kurepost ndiyo huwa sijui.. Nikikumbuka zipo namba ngapi nitakujulisha.Kwa hisani ya
Waaaaah
Naomba urepost Waaaaah.
Wala hakuna kinyongo.Hahaha,
Hapo unakua ushamuekea kinyongo,
Binafsi mtu akini blue tick namwambia
"mbona unasoma meseji alafu ujibu" instant.
Nice lakini kumwambia ukweli ingependeza zaidi.Wala hakuna kinyongo.
Naenda na mtu jinsi anavyotaka
Goood idea 💡,Kurepost ndiyo huwa sijui.. Nikikumbuka zipo namba ngapi nitakujulisha.
Kwamba hajui kama hajakujibu?Nice lakini kumwambia ukweli ingependeza zaidi.
Anajua, lakini sometimes watu wanakua na mood zao, ko ukimwambia akili inakua kama imemrudia.Kwamba hajui kama hajakujibu?
Ni ankali wangu huyo kwahiyo mulemule😅😅😁another mshana
Mafuta ya upako😅😅😀😀anaweza sema mafuta huyu achelewi
😆😆😆😆
Awamu hii siyo ya raha kabisa,hadi vocha zimekuwa changamoto.
Kwamba akili ilimtoka?Anajua, lakini sometimes watu wanakua na mood zao, ko ukimwambia akili inakua kama imemrudia.



Hii wapi mkuu
Stress, depression etc.Kwamba akili ilimtoka?![]()
Basi mimi sina moyo wa kumuuliza mtuStress, depression etc.
Kwa sababu kitu kidogo sana kina kuumiza.Basi mimi sina moyo wa kumuuliza mtu