Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
[emoji7][emoji7][emoji7]aje haraka[emoji2969] huyo mjfMtakatifu unapenda ukubwa wewe jamani...
Ngoja sasa ka umri kaja kasogee halafu hakuna namba yoyote uliyoipatia jibu mbona utaimba mapambiooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe niambie nisisahau kukuletea urojo mtakatifu[emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna mwana JF yuko huku nitampa aje nao ili uwahi kuukula[emoji28][emoji28]
Umri ndio huo ushasogea(34)