geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
Natabasamu nikikumbuka niliyoyasahu
au unasemaje mamah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hya bhna
🤣🤣🤣🤣🤣umetishaJana uliniquote na ukafuta
Uliandika nini?
Kwa jinsi anavyowaza....🐸😅😅😅😅😅ujue wewe ni chizi..mbona umemtaja huyo na si mwingine...ngoja nimuite..😄😄
Uwakika🤓🙅♂Imeisha hiyo😅😅
Halafu nashangaa amesoma comment yangu afu akakausha tu [emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetisha
ata mama alisema hivi kwa rafiki ake akaishia kuolewa na mshua🤓Imagen najionaga niko nyuma sana kumbe kuna watu wanifikiria bhna [emoji56][emoji56]
Malipo ni hapa hapa sioHalafu nashangaa amesoma comment yangu afu akakausha tu [emoji4]
Natafuta siku ya kulipiza..siku ananichekea na mimi nauchuna.
😎😎😎akikujibu niite
Ulikutana na ubavu wa kulia wa mwenzako sio wakoTatizo wanaume mkishagundua mnapendwa mnaanza jeuri.
Unampenda mtu hadi unaanza kupingana na imani,unataka hadi kujaribu kuvunja baadhi ya misimamo uliyojiwekea...
Ah sema Mungu naye ana akili,akihundua unataka kutoka kwenye mstari basi lazima afanye namna aondoe kikwazo kinachotaka kukutoa kwenye line.
MUNGU atatimiza haja ya moyo wako,Muombe bila kuchoka.
Ila kuhusu bluetick huwa sijali kabisa.
Mtu akinibluetick mbona fresh tu,asiponijibu basi miaka na miaka itaenda baadaye nina utaratibu wa kufuta contacts ambazo zinaongeza ujazo kwenye simu yangu.
Kuna nini tena jamani!Ndo zake mtakatifu
Square kurusha mitumbaWewe tuseme tu wakati daily unashinda Square pale kama upo parokiani
Ngoma gani tena jamani!Sawaa nakuja...
Dj apige mchumba mbona hutokei
😆😆😆😆😆😆😆😆muoneni huyu jamani...mi sipo hivyoooKwa jinsi anavyowaza....🐸
Mechi itakuwa ngumu sanaa😂
Kawaida hiyoUlikutana na ubavu wa kulia wa mwenzako sio wako
Mbinguni ni kufanya total tu!Malipo ni hapa hapa sio
Mtakatifu unapenda ukubwa wewe jamani...Mambo ya Zenji.
Wakati wa kurudi uniambie niweke nida yangu yenye 34yrs ili urudi kwa kuogelea.
Lita 4.5 inategemea maana inawezekana kuzidi hapo au ikapungua lakini si chini la lita 3Unakunywa lita ngapi za maji kwa siku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana[emoji41][emoji41][emoji41]akikujibu niite