Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
☺☺ Mshana bana. Bado sijaona vya kike ambavyo sio vya kike 😏
☺☺ Mshana bana. Bado sijaona vya kike ambavyo sio vya kike 😏
😁😁😁😁 embu tumegee aina za CV ulizonazo....pengine kuna ambazo na wengine tunahitaji 🙂🙂Usijali Mkuu, Nina aina zote za CV kwenye Laptop yangu, ni ishu ya copy and Paste.
Labda kuongezea kwenye hiyo bahasha tusisahau kuambatanisha na Cheque 😀😀
Ni laini sana, hivyo kazi yake labda iwe kumpaka Mr mafuta kabla hajaenda Job. Ataenjoy sana 😄😄Grahams hauko serious 😆😆😆
Mikono ya kazi hii unauliza kama inavunja biscuits??🤔
Ni laini sana, hivyo kazi yake labda iwe kumpaka Mr mafuta kabla hajaenda Job. Ataenjoy sana 😄😄Grahams hauko serious 😆😆😆
Mikono ya kazi hii unauliza kama inavunja biscuits??🤔
Vya kike ambavyo sio vya kike vinafanana na vya baba sio mamaMshana bana. Bado sijaona vya kike ambavyo sio vya kike
![]()




Uko vizuri sana kwenye mipango Grahams 🙂👊🏾👊🏾 Alafu mara paaap nasahau kilichonipeleka narudi na Mcomoro 🙈🙈Lizzy anaonekana ana hobby ya kusafiri, I guess hiyo cheque ataitumia kwenda angalau visiwa vya Comoro ili apate utulivu wa kuipitia CV yako 😀😀😀
Unataka kumtumia nani? Kama unataka ije kwangu huhitaji kunitumia CV, ni kimemo tu nitakuwa nimeelewa 😂😂😁😁😁😁 embu tumegee aina za CV ulizonazo....pengine kuna ambazo na wengine tunahitaji 🙂🙂
Weka picha 😁😁
Sawa ila nipe kwa matumizi ya baadae 😌😌Unataka kumtumia nani? Kama unataka ije kwangu huhitaji kunitumia CV, ni kimemo tu nitakuwa nimeelewa 😂😂
HapohapoNdiyo hapo Nyamanoro au
Kwani panachukua Dakika ngapi
Hapo unakuwa hujatutendea haki, unatakiwa ukirudi unakuja na jibu la Ndiyo ili mipango ifanyike haraka upelekwe Vacation Egypt ukaone Pyramids na mahali ambapo Mosses aliongea na Mungu.Uko vizuri sana kwenye mipango Grahams 🙂👊🏾👊🏾 Alafu mara paaap nasahau kilichonipeleka narudi na Mcomoro 🙈🙈
🤣🤣🤣🤣🤣 haki tena itabidi nifungue massage parlour kama mikono yangu inaweza kazi za kupeti peti tu 🙃🙃Ni laini sana, hivyo kazi yake labda iwe kumpaka Mr mafuta kabla hajaenda Job. Ataenjoy sana 😄😄
Kuna jamaa pale juu amesema eti afadhali hizo za Mtera,nikamuuliza alishawahi kuona korongoni kulivyo??ila kote Kuna hatari Sana kitonga pale kila dereva Yuko Makini ni ni nadra kukuta ajali
Bibi harusi na hekaheka wapi na wapisiku hyo wee mwenyewe utakuwa ktk heka heka, ukijikwaa je?



Pyramids baadae baadae kidogo. Maldives panafaa zaidi kuanzia 🙂😉Hapo unakuwa hujatutendea haki, unatakiwa ukirudi unakuja na jibu la Ndiyo ili mipango ifanyike haraka upelekwe Vacation Egypt ukaone Pyramids na mahali ambapo Mosses aliongea na Mungu.
Ushindwe wewe tu 😜😜
Mkuu acha kumuita mwenzio kinyamanahuyu jamaa anakuaje gay then proudly kabsa....angekua wa mbeya huyu ningeenda malawi niitwe Gerald kamunzu Banda tuu....
nimefurahi sana kusikia hatoki Mbeya....aka mundu ujhuu kinyamana