Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,903
- 57,681
Like Serious 🙆Kuna jamaa pale juu amesema eti afadhali hizo za Mtera,nikamuuliza alishawahi kuona korongoni kulivyo??
Zote tu ni hatari..kitonga juzi Kati Kama si mwaka jana basi ni Mwaka juzi,bus liliporomokea huko chini na hakuna aliyekufa.
Ila kama ulivyosema both ways ni mbaya na zinahitaji Umakini sana wakati Unaendesha.


