cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Yes dear 😘Une chill dea![]()
hio colour ugonjwa wangu Mimi jamani ee moyo wangu tulia muhimidi bwana
hahahahahahahha et hovyoooooo nimeku imagine ulivyokunja mdomo.......mkuu achana na hilo pepo aisee njoo kiumeni huku kutamu sana....na bado utateseka sana. Una kariri hovyoo eeeh we mnyaki.
Maumivu yakizidi muone daktari. Hovyoooooooh
Usijali Mkuu, Nina aina zote za CV kwenye Laptop yangu, ni ishu ya copy and Paste.hahahahaa nitatuma CV utanisaidia kui draft
hapo kwenye cheque hakuna matata kabisa 😆Usijali Mkuu, Nina aina zote za CV kwenye Laptop yangu, ni ishu ya copy and Paste.
Labda kuongezea kwenye hiyo bahasha tusisahau kuambatanisha na Cheque 😀😀
Mh huu mkono na hyo surual mbna tofauti kbsaa?mitano tena...View attachment 1678969
Mhe. Mshana na Mimi nakuunga Mkono, Nina wasiwasi kama hivyo vidole vimeshawahi hata kuvunja Biscuits na biscuit ikavunjika
CC
Lizzy






Kitabu cha Mathew 7:7 kinasema ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Take time kutuma CV yako kwa Lizzy huenda ikajibiwa![]()




Mwambie afanye fasita aanaFanya bas ujue, ili nimuambie babu yangu kipenzi Mshana Jr aninunulie.
kwahyo mkono lazima ufanane na surual....mkuuMh huu mkono na hyo surual mbna tofauti kbsaa?