Hahaha, karibu mkuuKuku huyo tyuuh![]()
Ahsante naja saiv, npo road lolHahaha, karibu mkuu
wow what a viewIjumaa Mubarak View attachment 1677944View attachment 1677945
Bas uwage una specify aina ya urembo cc, sawa eeeh







Kama Kawaida kocha wao unatoa ushauri wa kilevihappy birthday kijana Ila usitafute sijui cake na maua ni Mambo ya pisi kali, wew jioni tafuta mahali penye utulivu agiza kvant kubwa unainywa taratiibu huku ukitafakari jinsi gani huu mwaka uongeze hela

Nice view mkuuwow what a view
Sina cha kupost, naona nitoe likes,Nige
Mzee wa kutoa likes
Happy New year nige..Sina cha kupost, naona nitoe likes,
Happy new year Annie!!

Ukute shemela nae vururu, ktk shangwe za furaha anakukanyaga tena pyuuuh, damu hizo chwaaaaaaaaaaah.
Ila kucha kuja kubandika tena kwa kweli hapana
Labda siku ya harusi yangu






mchambuzi wa masuala ya bia nilicheka Sana , natoa ushauri tu Mimi sipo hukoKama Kawaida kocha wao unatoa ushauri wa kilevi![]()
siku ya harusi usivae kabisa
Ila kucha kuja kubandika tena kwa kweli hapana
Labda siku ya harusi yangu