Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 1678747View attachment 1678753
Barabara ya Iringa - Dodoma
Kona za kutosha, nitajipa homework ya kupata idadi ya Kona baina ya Mlima Kitonga na hiki kipande cha Iringa - Mtera.

Nahisi Kama vile hiki Kipande cha Iringa - Mtera kina kona nyingi kuliko Kitonga.😇
kitonga kina Kona nyingi na sio Kali Sana mtera pana Kona Chache Ila Kali mnoo
 
Kwenye upande wa Kona Kali nahisi Kitonga ni kali sana kuliko hizi za Mtera.

Kwenye idadi ya Kona nyingi, Mimi pia nilihisi Kitonga kona ni nyingi kuliko hizi za Mtera.

Ingawa nitajaribu kuzihesabu kwa kutumia Google Earth application. Ili tufanye comparison na data za madereva ambao wamekuwa wakizitumia hizi barabara mara kwa mara.
 
Carina roho ya paka since 2012
 
Attachments

  • IMG_20210115_114209_577.jpg
    IMG_20210115_114209_577.jpg
    206.8 KB · Views: 5
View attachment 1678747View attachment 1678753
Barabara ya Iringa - Dodoma
Kona za kutosha, nitajipa homework ya kupata idadi ya Kona baina ya Mlima Kitonga na hiki kipande cha Iringa - Mtera.

Nahisi Kama vile hiki Kipande cha Iringa - Mtera kina kona nyingi kuliko Kitonga.
Duuuuuh hapo mtera napagopa km nn, hizo kona zinekaa hovyo mno, afadhari ya kitonga lol.
 
Of course though sio kama Kitonga, unajua Kitonga ukichochola ukaingia kule chini ndiyo inakuwa mwisho wa maisha.

Wakati hapa Mtera doesn't scare much.
Ila kitonga napo pana kisanga mmmh, nikiwa nasafiri kwenda home au kutoka home kuja huku, nikifka kitonga nakua mpolee na kusali San.
Selikali iangalie namna gan itarekebisha pale, kuepusha adha kwa wanachi wake.
 
Kwenye upande wa Kona Kali nahisi Kitonga ni kali sana kuliko hizi za Mtera.

Kwenye idadi ya Kona nyingi, Mimi pia nilihisi Kitonga kona ni nyingi kuliko hizi za Mtera.

Ingawa nitajaribu kuzihesabu kwa kutumia Google Earth application. Ili tufanye comparison na data za madereva ambao wamekuwa wakizitumia hizi barabara mara kwa mara.
Mkuu idadi ya Kona huo mlima Iringa -dom (wanauitaje jina limenitoka) huwezi linganisha na kitonga.
Acha kabisa,mlima una Kona zaidi ya 50
Tena Kona kali,kitonga haoni ndani.
Kuhusu kuchochora inakuwa Mungu tu aingilie Kati..usiseme eti Bora uchochore huko Mtera kuliko kitonga,,hivi kule chini korongoni umewahi chungulia vizuri kweli???na panachukua muda mrefu Hadi kuzimaliza zile Kona.
 
Back
Top Bottom