Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 978
- 2,311
Sijui bai yake mkuu ndo naifanyia utafiti nimeiona kwa mtandao ikanibambaTaja Bei chap![]()
Mkuu utwo hapo twenye macho meusi ni tusamaki gan eti??
Mixer kauduvi flani
Moro nlikua Jana star park nomaWakuu wa Moro mpo?
Kali ukipata Bei njooSijui bai yake mkuu ndo naifanyia utafiti nimeiona kwa mtandao ikanibamba
Acha mambo yako
Nikipiga nitaweka Annie
Hii ipo kihonda ?Uhuru park mo townView attachment 1678465
Ntakuwa kwenye kiatu kirefuUkute shemela nae vururu, ktk shangwe za furaha anakukanyaga tena pyuuuh, damu hizo chwaaaaaaaaaaah.
![]()




Sawasawa mkemia wa vilevimchambuzi wa masuala ya bia nilicheka Sana , natoa ushauri tu Mimi sipo huko
Nitavaasiku ya harusi usivae kabisa
Nipe mimi hiyodriving unaweza?
Mwakani nikiacha pombe nikupige pingu deal or no deal ?Nitavaa
Labda nisibahatike kuipata hiyo harusi
Ulivo mtoto wa mama hata kuhesabu tu zimeingia bags ngap utashindwaNipe mimi hiyo
Tena fuso la mahindi
Pombe haiachiki..Mwakani nikiacha pombe nikupige pingu deal or no deal ?


Hivi unanichukuliaje wewe??Ulivo mtoto wa mama hata kuhesabu tu zimeingia bags ngap utashindwa
Ni kwema kabisa mkuu!