Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,171
- 11,236
Inaachika nitapambana sana siwez kukukosa itaachika tuPombe haiachiki..
Tafuta atakayevumilia ulevi[emoji23][emoji23]
Mimi siwezi vumilia kwa kweli.
Inaachika nitapambana sana siwez kukukosa itaachika tuPombe haiachiki..
Tafuta atakayevumilia ulevi[emoji23][emoji23]
Mimi siwezi vumilia kwa kweli.
Unakula mboga ndio ulale?View attachment 1678508View attachment 1678508View attachment 1678508
Leo nawaiga Wazungu kulalia vichipsi, njaa ikinizidi usiku nitaamka kula uporo wa wali [emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaachika nitapambana sana siwez kukukosa itaachika tu
Mbona wewe juzi tu hapa umekula[emoji23]Unakula mboga ndio ulale?
Usianze plz mim nitaacha soon nko on process[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali, ukishindwa nitaanza Mimi kunywa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda baada ya kula ugali ,, wa mikoani siunatujua show zetuMbona wewe juzi tu hapa umekula[emoji23]
Ndiyo najaribu leoUnakula mboga ndio ulale?
Ukipata usingizi utakua na bahatiNdiyo najaribu leo
Usemacho ni sahihi, saivi 22:48 njaa imeshaanza kuniuma.🙌😀Ukipata usingizi utakua na bahati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] get back to the formulaUsemacho ni sahihi, saivi 22:48 njaa imeshaanza kuniuma.[emoji119][emoji3]
Absolutely, sina namna. Ngoja nipashe kiporo cha wali wa mchana nikipige.🙌[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] get back to the formula
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Absolutely, sina namna. Ngoja nipashe kiporo cha wali wa mchana nikipige.[emoji119]
Do it my friend usiku mreeefu mnoooAbsolutely, sina namna. Ngoja nipashe kiporo cha wali wa mchana nikipige.[emoji119]
Sea cliff hiyoo!
😉 poa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda baada ya kula ugali ,, wa mikoani siunatujua show zetu