Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu idadi ya Kona huo mlima Iringa -dom (wanauitaje jina limenitoka) huwezi linganisha na kitonga.
Acha kabisa,mlima una Kona zaidi ya 50[emoji119]
Tena Kona kali,kitonga haoni ndani.
Kuhusu kuchochora inakuwa Mungu tu aingilie Kati..usiseme eti Bora uchochore huko Mtera kuliko kitonga,,hivi kule chini korongoni umewahi chungulia vizuri kweli???na panachukua muda mrefu Hadi kuzimaliza zile Kona.
Ndiyo hapo Nyamanoro au
Kwani panachukua Dakika ngapi
 
Mungu asaidie home kwenu kusiwe Mbeya


eeeh home kwenu wapi??
Hahahhaaha haki you two....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan kila anayepita kitonga ni mtu wa mbeya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo stress utakuja kufa bureeh, afu kwa mambo yasiyokuhusu.
Dunia laini, ugumu unauleta wee. Home kwetu hapakuhusu
Poleeeeeeh.
 
Amina
Screenshot_20210116-140106_Nyimbo%20za%20Kristo.jpg
 
Back
Top Bottom