Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] urafiki wa mbuzi na chui
Hapana mimi sio chui
IMG-20210113-WA0014.jpg
 
Mimi je[emoji23][emoji23]
Mwaka Jana ndio ilikuwa mara yangu ya Kwanza kubandika hizi kucha na nilibandika kwa influence ya rafiki yangu niliyeongozana naye..akanilazimishia na Mimi nikaweka..miguu ilikuwa mizito hatari , kwenye daladala mtu unasimama kwa wasiwasi[emoji134]haki urembo ni kazi jamani!

Kwanza picha limeanza nimeenda Church,ile katika harakati za kucheza kurukaruka si nikagongana na mtu[emoji38] akanikanyaga kidole cha mwisho[emoji21]nimekaa nashangaa damu inatiririka kidoleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilanga komo chote fyaaaaaah.
 
Back
Top Bottom