kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Kama umeshika kitu
Kama umeshika kitu
Ndo mapozi yenyewe ya kupaka rangi ili nijikapche😅Kama umeshika kitu
Hakyamama tena ni kama nakufahamu😆😆😆😆Sijui kesho ntaamka mapema? View attachment 1676935
Hivyo vyote sijaviona ujue😅😅🤣 kikombe na kijiko hujaviona
"Nijikapche"Ndo mapozi yenyewe ya kupaka rangi ili nijikapche![]()
Hata hivyo si lazima uelewe kiurahisi ngoja nikuumize kichwa kwanza😆😆"Nijikapche"
Huwezi amini. Sijaielewa
Kucha zako hizi?
Roho mbaya iyoHata hivyo si lazima uelewe kiurahisi ngoja nikuumize kichwa kwanza![]()
Hapana si zangu😆😆😆😆Kucha zako hizi?
damn, she eating her own coochie... 😂 😂 😂
Love mi mwenyewe sijui kucheza game ujue...ngoja kuna wanangu wakiwa free nitaenda kwao tukapate ulabu huku wakinifundisha namna ya kucheza..nikiweza kuimasta tu ...😁😁 imeisha hiyo
WoyoooooooooooohLove mi mwenyewe sijui kucheza game ujue...ngoja kuna wanangu wakiwa free nitaenda kwao tukapate ulabu huku wakinifundisha namna ya kucheza..nikiweza kuimasta tu ...imeisha hiyo






Kwenye kamati ya roho mbaya mimi ni mwenyekiti ..😎😎Roho mbaya iyo
💃💃💃Woyooooooooooooh
![]()
Iv dea usharud bara kutoka visiwan?
Hakyamama tena mniombee nirudi..vinginevyo!!nitalowea kwa hawa watu..nimetekwa mimi jamani 🙆♀️🙆♀️😆😆😆Iv dea usharud bara kutoka visiwan?
Hakyamama tena mniombee nirudi..vinginevyo!!nitalowea kwa hawa watu..nimetekwa mimi jamani![]()





wee dea hapana, yaan umelowea kwa wapemba kabisaaa? Karafuu na marashi vina kuwehusha? 






We acha tu nimetekwa na vingi mieee...yakheee huko bara mtajanisikia tu(in .....’s voice )😄😄😄wee dea hapana, yaan umelowea kwa wapemba kabisaaa? Karafuu na marashi vina kuwehusha?
"Kwa jina la JAH akuachie kipendhiiiiii urudi huku bara".
Ngoja na mie likizo ya March ntamuambia Mr mpare twende huko nijionee huo utekwaji.
![]()