Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Walimu tunaonewa[emoji23]Mimi wa kwaya
Walimu tunaonewa[emoji23]Mimi wa kwaya
Wewe unakunywa ila hututaki wenzio tunaokunywa[emoji134]sitaki wanywaji
ndio muache kabisaaaaaaaa mwanamke mlevi ni karakana ya shetaniWewe unakunywa ila hututaki wenzio tunaokunywa[emoji134]
Na mwanaume mlevi ni nani?ndio muache kabisaaaaaaaa mwanamke mlevi ni karakana ya shetani
usirudie Tena kuweka makucha ya kishetani hayo nitakuchapa vibaoMimi je[emoji23][emoji23]
Mwaka Jana ndio ilikuwa mara yangu ya Kwanza kubandika hizi kucha na nilibandika kwa influence ya rafiki yangu niliyeongozana naye..akanilazimishia na Mimi nikaweka..miguu ilikuwa mizito hatari , kwenye daladala mtu unasimama kwa wasiwasi[emoji134]haki urembo ni kazi jamani!
Kwanza picha limeanza nimeenda Church,ile katika harakati za kucheza kurukaruka si nikagongana na mtu[emoji38] akanikanyaga kidole cha mwisho[emoji21]nimekaa nashangaa damu inatiririka kidoleni.
devil's workshop ( Ila Mimi excluded kwakua ninaacha)Na mwanaume mlevi ni nani?
Rafiki yangu siku graduu kila mtu alibandika,mimi nani ningebisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usirudie Tena kuweka makucha ya kishetani hayo nitakuchapa vibao
Na wewe umo hadi utakapoachadevil's workshop ( Ila Mimi excluded kwakua ninaacha)
Mimi nikikukuta umeweka hizo eidha umependeza ama hujapendeza haizuii wew kula vibao 🤣🤣🤣Rafiki yangu siku graduu kila mtu alibandika,mimi nani ningebisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sio siri zinapenda kichizi sema tu zinakuwa mzigo
I'm fighting now mungu atatendaNa wewe umo hadi utakapoacha
kombe la mbuzi na debe la mchele bila kusahau katoni ya sayonaAsante YANGA [emoji91]
This is YANGA [emoji108] [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]View attachment 1677199
Tobaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mimi nikikukuta umeweka hizo eidha umependeza ama hujapendeza haizuii wew kula vibao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante dearAsante YANGA [emoji91]
This is YANGA [emoji108] [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]View attachment 1677199
HongeraI'm fighting now mungu atatenda
jiandae Labda unikimbieTobaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mbona bado ninazofanya,sijazitoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio tushawashinda hivyo[emoji108]kombe la mbuzi na debe la mchele bila kusahau katoni ya sayona
Naona unanifukuza mapema [emoji38]jiandae Labda unikimbie
hahaha Sina jeuri hioNaona unanifukuza mapema [emoji38]