Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi mwenyewe nishauingiza kwenye maajabu ya dunia
Afu kuna mtoto pale alikuwa anasema eti jamaa amekariri tu hana lolote.. yeye hata form 4 tu ilimshinda ila yupo pale kumponda Kihombo
Cariha ndio anasema PCM kukariri tu eti art ndio kusoma zile ngonjera za ngoswe ndio ngumu
 
Nchi ina maajabu hii acha kabisa.

Hata huko HKL kupata huo wastani sidhani kama ni rahisi hivyo..ingekuwa rahisi basi kila mtu angepata.
Ila kumkubali tu kama jamaa alikuwa anajua hawataki hadi kesho
Yaan kumbe huyo jamaa aliekua anatoa hizo pumba kumbe kasoma HKL? Sasa km kweli ni rahisi mbna yee alikimbilia lugha msieeew zake,
Msieeeew Dume zima afu linasoma HKL. na hakuwahi kuwa T. O.
 
Cariha ndio anasema PCM kukariri tu eti art ndio kusoma zile ngonjera za ngoswe ndio ngumu
Kuna jamaa alikuja kumjibu
Eti dada acha utani,msuli wa PCM acha kabisa dadangu
Anasema nilikuwa navipanga vitabu toka wapi sijui hadi wapi

Sasa achana na huyo.
Kuna kengine kalichangia mwanzoni wa Uzi tu..nilikuta yupo kubishana na jurjani..nikaunga tera
Kalifuta comments zote
 
Yaan kumbe huyo jamaa aliekua anatoa hizo pumba kumbe kasoma HKL? Sasa km kweli ni rahisi mbna yee alikimbilia lugha msieeew zake,
Msieeeew Dume zima afu linasoma HKL. na hakuwahi kuwa T. O.
Mm sijui walisoma nini nini ila walikuwa wengi tu wanapinga
 
Code:
CCECC
20210103_143344.jpg
 
Back
Top Bottom