Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
hahahahhahahahahHaha umenikaziaKuna jamaa kwenye ule Uzi kasema hizo heshima Bora akampe bilgate na sio Elias yeye personally anaona hajafanya kitu
😅😅😅😅kijana mbona unanifuatilia sana..nitakuloga ujue😅😅Leo unapooza regetor![]()
Unataka nikutajie umri wangu hapa??Haha umenikaziaKuna jamaa kwenye ule Uzi kasema hizo heshima Bora akampe bilgate na sio Elias yeye personally anaona hajafanya kitu
anatema cheche acha kabisa, anasema genius gani anadisco chuo
hadi Baba swalehe akasema basi yaishe jamaa hakuwa genius

Itakua Safi tu Kuna ule wimbo wa Vanessa anasema naomba unirogeeeeeekijana mbona unanifuatilia sana..nitakuloga ujue
![]()
Msitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili 😊😊Physics mchezo cc? Mtu unakeshaa wee unaingia kwenye paper unaona kabisa, phys inakuambia "mie sio matako kwamba kila mtu anayo" basi jasho zinatoka za kuzunguka mdomo unafuta na ulimi, ladha sio ya chumvi ni sukari tupu.
![]()
Unataka nikutajie umri wangu hapa??
Kuna mmoja anasema lawama ziende kwa serikali kuwaita hawa watoto maT.O kwa mtihani ambao haupo standardized.
Jamaa flani ana avatar ya nyerereanatema cheche acha kabisa, anasema genius gani anadisco chuo
hadi Baba swalehe akasema basi yaishe jamaa hakuwa genius
![]()


mwingine anasema ile mitihani ilikua mwepesi tu anasema physics ya mwaka 1970 mtu wa kwanza kitaifa ana 47% 


MEMKWA - mpango wa elimu kwa watu wazimaMsitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili![]()


mashujaa msioimbwa sioZezeta zezeta🎶🎶I’m just singing 😄😄Itakua Safi tu Kuna ule wimbo wa Vanessa anasema naomba unirogeeeeee
Kuna Uzi mwingine nakwambia walikuwa wanajadili mtihani wa biology Mwaka jana,eti necta wanatoaje mtihani mrahisi vile eti necta ya form 6 wanauliza what is classification swali la form 2 wallah nilicheka Sana mtifuano wa mule ndani.mwingine anasema ile mitihani ilikua mwepesi tu anasema physics ya mwaka 1970 mtu wa kwanza kitaifa ana 47%
![]()
Msitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili![]()




Niliona wanasema ile bios hata mtoto wa form two anaruka nayoKuna Uzi mwingine nakwambia walikuwa wanajadili mtihani wa biology Mwaka jana,eti necta wanatoaje mtihani mrahisi vile wallah nilicheka Sana mtifuano wa mule ndani.

We wa kishua kozi hio kasoma pia kocha wa manchester ole Gunnar sosha
Mimi nimesomea tu ufundi cherehani ..nikajiboost kidogo nikaenda soma certificate ya sports and games
Wanasema eti what is classification,what is cell,yaani maswali ya form 2 kabisa hayoNiliona wanasema ile bios hata mtoto wa form two anaruka nayo![]()







kwani umekaa dodoma miaka yote hio ulikua unasoma kozi gani ndefu hivoUfundi cherehani?
Dah afu ngoja tukumbushane kidogo
Watu nusu muongo twazekea dodomaView attachment 1667003
Ufundi cherehani?We wa kishua kozi hio kasoma pia kocha wa manchester ole Gunnar sosha
Ufundi cherehani na astashahada ya michezokwani umekaa dodoma miaka yote hio ulikua unasoma kozi gani ndefu hivo





sports and gamesUfundi cherehani?
mmh haiwezi fika 5 yrsUfundi cherehani na astashahada ya michezo![]()
Mimi niliyoisoma ni ile ya kuchera rede tusports and games
