Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Niliwahi kukaa siku 7 sema nilikuwa naletewa misosi.nilikula ili nisife tu Ila wazoefu walikua wanaona poa tu jamaa wakawa wananiona mtoto wa mama Sana , nimekaa almost mwezi mmoja na kidogo usipime Kaka hakufai

na maji nikanyima.Eeeh ila mandhari mazuri mno, huko mie kungenifaa napenda San utulivu.Udom iko msituni nje ya mji.
college moja hadi nyingine unapita msitu..na siku hizi masika majani yamechipua sana
Ila kwa kishua hatari
Niliwahi kukaa siku 7 sema nilikuwa naletewa misosi.
Niko to ingia tu jamaa wakaona jinsi nilivyo ulamba wakajua nimekwenda kibahati mbaya hivyo nilipokelewa na manyampala,
Wakaniambi ukisikia filimbi ya kwenda kulala panga mstari nyuma yetu vinginevyo utapelekwa kwenye kunguni.
Basi nikafanya hivyo. Ile tunaingia tu ndani wageni tukapangishwa mstari, sumbuliwa. Jamaa moja alikuwa kapewa cheo cha uwaziri wa afya akaja akachukua jacket langu. Akahisi Kuna kitu akataka kulikata nikamwambia asikate. Aisee iliniweka makofi.
Basi wale jamaa walionikaribisha wakampiga biti.
Wakati wa kulala likakaa Baraza la mawaziri sero, yule jamaa Alie nipiga kofi akavuliwa uongozi, kura zikapigwa nikachaguliwa mimi.
Sasa from day 1 mimi nikawa incaharge wa kugawa maji ya kunywa.
Moja ya mashariti ili upewe Mani mda ukifika unatakiwa usije kifua wazi.
Basi we mda wa kugawa maji unafika, yule waziri alietumbuliwa akaja kifua wazi.
Kimoyo moyo nikasema huyu nitamfunza adabu leo. Alivyo sogea nilimpa makofi mawili ya kiwango cha SGRna maji nikanyima.
gereza zima wakishangilia wakesa kiongozi mpya anafaa.
Ilikuwa 2014 hiyo.

Kweli kabisaHuku kwetu hatuna haja ya kutumia friji![]()
Nani ana 23?23 yrs ndio unajiona mkubwaaa![]()
Dah nimecheka Kama mazuri pale ulipompa kelbu huyo jamaaNiliwahi kukaa siku 7 sema nilikuwa naletewa misosi.
Niko to ingia tu jamaa wakaona jinsi nilivyo ulamba wakajua nimekwenda kibahati mbaya hivyo nilipokelewa na manyampala,
Wakaniambi ukisikia filimbi ya kwenda kulala panga mstari nyuma yetu vinginevyo utapelekwa kwenye kunguni.
Basi nikafanya hivyo. Ile tunaingia tu ndani wageni tukapangishwa mstari, sumbuliwa. Jamaa moja alikuwa kapewa cheo cha uwaziri wa afya akaja akachukua jacket langu. Akahisi Kuna kitu akataka kulikata nikamwambia asikate. Aisee iliniweka makofi.
Basi wale jamaa walionikaribisha wakampiga biti.
Wakati wa kulala likakaa Baraza la mawaziri sero, yule jamaa Alie nipiga kofi akavuliwa uongozi, kura zikapigwa nikachaguliwa mimi.
Sasa from day 1 mimi nikawa incaharge wa kugawa maji ya kunywa.
Moja ya mashariti ili upewe Mani mda ukifika unatakiwa usije kifua wazi.
Basi we mda wa kugawa maji unafika, yule waziri alietumbuliwa akaja kifua wazi.
Kimoyo moyo nikasema huyu nitamfunza adabu leo. Alivyo sogea nilimpa makofi mawili ya kiwango cha SGRna maji nikanyima.
gereza zima wakishangilia wakesa kiongozi mpya anafaa.
Ilikuwa 2014 hiyo.

pole Sana chief ni mitihani tu ya dunia uzuri ulionesha ubabe mapema Mimi niliwakuta jamaa zangu niliwahi fanya nao kazi walikua na msala ndio walikua viongozi hvyo angalau sikupata shida sanaFriji zimekaa kama mapambo ndani.Kweli kabisa
Wewe na ole wako ubisheNani ana 23?
YahEeeh ila mandhari mazuri mno, huko mie kungenifaa napenda San utulivu.
Yaan uba2lia kmya buzzy na mambo yako.
Ngoja nikuache tu maana kubishana na Mimi huweziWewe na ole wako ubishe

Soda zetu wapendwa.
Najua siwezi bishana na wew ndio maana nimesema usibishe yaan uwe na 34 unipite mpaka Mimi legendaryNgoja nikuache tu maana kubishana na Mimi huwezi
Nina 34
Duuuuh physics 99 necta? Aseeeeh alitisha mnoooh,Achana na PCM
Yule jamaa alipata 99%physics necta.. wanasema alibahatisha
Mchawi mwenyewe hata aague vipi 99 ya physics habahatishi bila kusoma.
Leo unapooza regetor

Jaman mie sitakuja kusahau msuli wa PCM ktk maisha yangu yote wallah ivi. Acheni tyuuuh .Nadhani wanaisikia tu hawa watu wa vishazi tegemezi Wana shida Sana ndio maana Kuna mdau alisema ni janja janja haelewi kwanini bado wanaexist![]()

Ulisoma PCMJaman mie sitakuja kusahau msuli wa PCM ktk maisha yangu yote wallah ivi. Acheni tyuuuh .
Afu m2 analeta utani wake na kejeli, ntakuja kupasua watu pua humu ndani![]()
, Big upMweeeeeh ila mandhari mazuri.
Bustani tu hiyo lol
Kabisaaaah
Ona SasaNajua siwezi bishana na wew ndio maana nimesema usibishe yaan uwe na 34 unipite mpaka Mimi legendary