linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Bahati mbaya sinaga aibu sijui najiaminiga na nini tudaaha pole sana ndugu yangu, mimi nilijua ni sisi ndio tunaokuwa kwenye wakati mgumu tukienda ukweni kumbe hata nyinyi pia?
lakini huyo mwenzako angekupa abc za taratibu zao ili na wewe ujiandae kifikra kuepusha aibu.

