Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Nilihisi tu ndugu, ule mlima. Halafu wewe kumbe wakwetu mkuuArusha city mkuu

Nilihisi tu ndugu, ule mlima. Halafu wewe kumbe wakwetu mkuuArusha city mkuu

Hawezi kua mzuri moja kwa moja ndugu yangu, mfano uzuri was mwanamke unakamilika kifuani kwake, Sasa mwanaume matiti atayatoa wapiWapo wengi mno mkuu
Tena wazuri kutuzidi sie dada zao
Hilo mbona sina wasiwasi..
Yaani nikikuona namuona Yusuph wa agano la kale
Na vile nakupenda Sasa![]()




Kwema boss tunaimaliza weekend ya mwanzo wa mwaka wetu huu wa 2021
Hivi ni Yusuf ndio alikimbia utamu wa mke wa mfalme? Yusuf wa leo yuko wapi![]()




Alikimbia utamu wa mke wa boss wake
Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu




Binafsi sijawahi kuona utam wa mke wa mtu.
Alikimbia utamu wa mke wa boss wake
Daddy kama nakuona ungekuwa wewe vile usingemuacha salama huyo Mke wa watu
Vizuri sana kama ni kwema BossKwema boss tunaimaliza weekend ya mwanzo wa mwaka wetu huu wa 2021
Oooh pole sana mkuuBinafsi Nina roho nyepesi siwezi kuona mateso ya kiumbe chochote nikawa comfortable.
Kwako wewe ndiyo unaona uzuri ni matitiHawezi kua mzuri moja kwa moja ndugu yangu, mfano uzuri was mwanamke unakamilika kifuani kwake, Sasa mwanaume matiti atayatoa wapi
HB wa dunia nzima ambaye hajawahi kutokea mwingine kama yeye.
Khee Dada Unamjua Mpaka Yusuph
Kwa Nini asikubaki! Kisu chako tu boss mradi kisikose makaliVizuri sana kama ni kwema Boss
Ndiyo tunaimalizia weekend hii mkuu
Nipo hapa nachunika sijui mchunaji atakubali kuchunwa
Ingekulikana huko huko hakyanani!




Sijui jina langu litakuwa linasemaje loh