Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

No siumwi mpendwa ila nilienda muona rafiki mgonjwa.

[emoji1][emoji1]Ila hiyo hospital iko poa sana japo watu ni wengi hatari
Huduma zake nzuri mno.
Watu wanakuja toka mikoa mbalimbali..ukitaka usichelewe uwahi asbh sana 12 ikugongee pale..nje na hapo utakuta bonge la foleni kwenye kuandikisha

Mungu amponye[emoji120]
 
Wahenga mpo
FB_IMG_1609453133566.jpg
 
Huduma zake nzuri mno.
Watu wanakuja toka mikoa mbalimbali..ukitaka usichelewe uwahi asbh sana 12 ikugongee pale..nje na hapo utakuta bonge la foleni kwenye kuandikisha

Mungu amponye[emoji120]
Yeah hata vifaa vyao ni vya kisasa sana...ila nimeona kuna manesi wawili watatu wanataka iharibia sifa.

Nashukuru sana 🙏🏽
 
Wamewafanyaje??
Manesi sijui kwanini wachache huwa wanakuwa vichomi[emoji1751]
Kuna huyo nesi akija kumcheki mgonjwa hasalimii wala ukimsalimia wewe hajibu. Tukahisi ni kwa mgonjwa wetu tu kumbe hata kwa wengine ni vivyo hivyo...hata ukimuita aja kwa maringo na nyodo mpaka 😄🤦🏽‍♂️

Ila watu wa hivi hawakosekani siku zote
 
Kuna huyo nesi akija kumcheki mgonjwa hasalimii wala ukimsalimia wewe hajibu. Tukahisi ni kwa mgonjwa wetu tu kumbe hata kwa wengine ni vivyo hivyo...hata ukimuita aja kwa maringo na nyodo mpaka [emoji1][emoji2363]

Ila watu wa hivi hawakosekani siku zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni tabia yake tu mbaya na anataka achafue fani ya unesi huku kuna manesi wana roho nzuri hadi unapenda.

Ila kikubwa anatoa huduma.
 
Back
Top Bottom