Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
[emoji23]nimehisi tu hivyo
[emoji23]nimehisi tu hivyo
No
Huyo ndio mwanaume Sasa, mwanaume wa kweli hawezi kutoka na mke wa mtu tena boss wake.Yah ni Yusuph alimkimbia mke wa Potiphah[emoji23][emoji23][emoji23]
Yusuph alikuwa me rijali aliyetumia kichwa chake vzr..licha ya uzuri wake (inasemekana ndiye mwanaume mzuri zaidi kuwahi kutokea duniani)
Ila hakutumia vibaya uzuri wake.
Kwa Sasa atakuwa anakula bata Mbinguni huko.. naimani nikifika Mbinguni ntamuona HB huyu[emoji7]
Saint Annebilldrago fanya kesho kuniletea hiki kinywaji.
Haiwezekani naishia kukiona tu humu kila siku.
Wanaume wa siku hizi sasa akili sijui walipeleka wapi,ni wajinga sijapata ona..afu wengine eti wanamuona Yusuph bonge la fala.Huyo ndio mwanaume Sasa, mwanaume wa kweli hawezi kutoka na mke wa mtu tena boss wake.
Hii wapi boss? locationHome sweet home [emoji8]
View attachment 1666827
Haifai kivipi mkuuPicha ngumu Kama hizi bro hazifai[emoji24]
Haha, sio St ana wetu huyu
kichwa kipi kalumbu?Yah ni Yusuph alimkimbia mke wa Potiphah[emoji23][emoji23][emoji23]
Yusuph alikuwa me rijali aliyetumia kichwa chake vzr..licha ya uzuri wake (inasemekana ndiye mwanaume mzuri zaidi kuwahi kutokea duniani)
Ila hakutumia vibaya uzuri wake.
Kwa Sasa atakuwa anakula bata Mbinguni huko.. naimani nikifika Mbinguni ntamuona HB huyu[emoji7]
Embu nitajie Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi Nina roho nyepesi siwezi kuona mateso ya kiumbe chochote nikawa comfortable.Haifai kivipi mkuu
I was wondering why Isaac, upo vzr sana aisee. U got it right!Embu nitajie Bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechoka kukisia
I wish iwe Isaac
Isaac Means laughing (Mungu atakuwa amenipa kicheko maishani[emoji7])
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Ulisikia wapi?View attachment 1666795
Hule jamaa sio fala, Kwanza vision yake ilikua ya mbali, maana Ange duu tuu leo tusingekua tunamuongeleaWanaume wa siku hizi sasa akili sijui walipeleka wapi,ni wajinga sijapata ona..afu wengine eti wanamuona Yusuph bonge la fala.
Wapo wengi mno mkuuSijawahinkuona mwanaume mzuri kwa kweli.