Sijawahinkuona mwanaume mzuri kwa kweli.Teh mie siwezi kuwa na Mwanaume aliyenizidi uzuri kwa kweli
Hata mimi nimemmiss sanaNimemiss baba huyu aisee
I know..linaanza na S [emoji3][emoji7][emoji7][emoji7]Yaani hayo yote ni kweli kabisa
Nimekosa kimoja tu! "Ubunifu"
Jina langu linaanza na herufi "S"..
Nadhani haka kamchezo kana ukweli ndani yake.
Mchumba mm ni HB zaidi ya huyu[emoji28]Huyu hapa
View attachment 1666798
Sa Rey anauzuri ganiHuyu hapa
View attachment 1666798
Mmmmh[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We unamuona mbaya?Sa Rey anauzuri gani
Hivi ni Yusuf ndio alikimbia utamu wa mke wa mfalme? Yusuf wa leo yuko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo mbona sina wasiwasi..
Yaani nikikuona namuona Yusuph wa agano la kale[emoji7]
Na vile nakupenda Sasa[emoji8]
Kwa jinsi mieleka ilivyo mwili wake lazima utakua mgumu, kwa hio automatic hana uzuri tenaWe unamuona mbaya?
Nakupenda zaidi[emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo mbona sina wasiwasi..
Yaani nikikuona namuona Yusuph wa agano la kale[emoji7]
Na vile nakupenda Sasa[emoji8]
Yah ni Yusuph alimkimbia mke wa Potiphah[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni Yusuf ndio alikimbia utamu wa mke wa mfalme? Yusuf wa leo yuko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumba wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ukisoma historia ya Ibrahim vzr you can guess mi ni nani...Mchumba wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sura yake Ni fireee[emoji91]Kwa jinsi mieleka ilivyo mwili wake lazima utakua mgumu, kwa hio automatic hana uzuri tena
[emoji848]Isaac??? Au??