Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

wew ilibidi ndio uwe man u like father like daughter sijui unafeli wapi na livakuku hio.. mby pameanza kua na foleni nipo mafiat hapa naanzia mbalizi naanza kurudi mpaka uyole
Kwanza acha kutaja liver na vitu vya ajabu[emoji38][emoji38]

Hapo foleni ipo siku zote.Ukifika jb iwambi hapa nishtue nikupungie mkono.
 
Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo, tarumbeta n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.
Hapo unazungumzia nyimbo za Kikongo?
 
Sasa juilize kabla ya 2020 hawa loserfool walikuwa wapi, yaani nyie watu natamani malaika ashuke tu![emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malaika ashuke kufanya nini tena

Usifananishe mashabiki uchwara na makada hata huku Liverpool kuna mashabiki uchwara wanaosikilizia upepo na sisi makada
 
Back
Top Bottom