ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,471
- 126,712
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo big anaonekana mlokole aisee umemuiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo big anaonekana mlokole aisee umemuiba
Aaaah jmn mbon hvo lakin [emoji2][emoji2][emoji2]sina mpngo uo wa kumeza nyoka saa hv mimiHata Mwaka haujachanganya vizuri we tayari ushameza nyoka [emoji23][emoji23][emoji23]
#jokes
Ata simjui mkuu tumekutana bank tu tumekaa kiti kmojaa hapo nimempga picha ata hajui[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo big anaonekana mlokole aisee umemuiba
[emoji28][emoji28] usiwaze mkuu kidding tuAta simjui mkuu tumekutana bank tu tumekaa kiti kmojaa hapo nimempga picha ata hajui[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha....dah!! we jamaa bhana[emoji1]Hapa Jamvin....
Mkuu T 1990 ELY Alikuwa peke tukaona si vema awe peke ake tukamtafutia msaidizi [emoji28][emoji28][emoji28]
Yule dada unamuonaga kanisani amevaa kama hivyo ndio Mimi Sasa.[emoji16][emoji16]ningependa jpili hii nkukaribishe Ibadan tusali pamoja,[emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani watu wabayaHuyo big anaonekana mlokole aisee umemuiba
Maishani mwangu sidhani kama nitakuja vaa suruali ya hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mboba fresh unavaa mpk ukweli msweet wangu jmnMaishani mwangu sidhani kama nitakuja vaa suruali ya hivi.
Ila umependeza[emoji3590]
Nimechapia ila nilimaanisha mbona fresh tu unavaa mpk ukweni[emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mboba fresh unavaa mpk ukweli msweet wangu jmn
Ukija olewa ukoo wetu ukavaa hivyo watakufukuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechapia ila nilimaanisha mbona fresh tu unavaa mpk ukweni[emoji847][emoji847]
Mwaya me siwwzi vaa ukweni suruali mamyUkija olewa ukoo wetu ukavaa hivyo watakufukuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona nguo imetoboka
Me sijui kwa nn imetobokaMbona nguo imetoboka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]Mwaya me siwwzi vaa ukweni suruali mamy
Warudishie dukaniMe sijui kwa nn imetoboka
Mbona nguo imetoboka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me sijui kwa nn imetoboka
Na uwezi amani ata nikienda kwetu sivaagi suruali kuna sheria matata ata kimin uwezi vaa ati ....ila niko kwangu navaa navo jisikia ila nihakikisha tu nisionane na baba, mjomba,wala kaka nitakula mbata barabarn za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukija olewa ukoo wetu ukavaa hivyo watakufukuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo, tarumbeta n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.Sasa Bora wewe inawezekana ni za kisasa kidogo.
Mimi zote ni za mvuto,solo,shift.
Aisee[emoji134][emoji134][emoji134]Na uwezi amani ata nikienda kwetu sivaagi suruali kuna sheria matata ata kimin uwezi vaa ati ....ila niko kwangu navaa navo jisikia ila nihakikisha tu nisionane na baba, mjomba,wala kaka nitakula mbata barabarn za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]