Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watoto wa kishua Bwanahamjui kupika kwenye mafiga.

Kusonga ugali kwenye mafiga ni rahisi mno kuliko mkaa,Mimi napenda kutumia mafiga kwenye kusonga ugali.

Kwahiyo mama mkwe akakusaidia kusonga
Ila mambo ya ukweni jamaniMimi ikitokea nikaolewa nikienda basi nikae tu siku chache...mambo ya kuishi na ukoo mzima kwa siku nyingi kwa kweli siwezi kabisa.
Mama mkwe hawezi songa ugali ila alinitafutia mtu wa kunisaidia tu
 
usiogope ukweni wapo wawili tu na mbwa wetu nae yumo kwenye share so ukipika unapika msosi wa watu wanne

Hata kama wapo wawili,Mimi siwezi kukaa sana kwa watu..yaani huwa najihisi mnyonge sana.
Dom tu nimekaa wiki 2 kwa watu yaani nilikuwa mnyonge hatari
Na hili huwa linaniwazisha sana sana siku ya kuondoka nyumbani sijui itakuwaje

Halafu ugenini huwa sipendi Sana kukimbilia jikoni na nikienda jikoni basi niwe na mwenyeji,kila watu wana staili yao ya kupika..waweza kupika hivi kumbe wenzenu wanapika vile.
 
IMG-20210102-WA0011.jpeg
 
Nikutumie picha yako
Kama ni yangu basi ninayo.

Nina picha za kila aina,Nina za suruali pia na nguo fupi na humu nilishawahi kuweka..Nina za vitenge pia.

Ila nilichosemea Mimi kuvaa Kama hivyo na kuzurura mtaani siwezi..nyumbani naweza vaa na nisione shida kabisa.
 
Kuolewaa ni sheria babygirl...

Ata uzunguke dunia nzima siku moja utaitaji kuwa na mume na family alafu mimi sio mara ya kwanza kuchumbiwa ati hii ni mara pili nilisha chumbiwa na muboy wangu tuliye dumu kwa muda mrefu kwa mausiano ila tulivunja kutokana na tabia za mshikaji alikuja kubadilika na kunifanya ngoma tena nakumbuka mpk nilikuja kuomba mpk ushahuri jf kama kuna mtu alisha pitia page zangu basi alisha kutana nao uo uzi
Kwahiyo unatushauri nini sisi dada zako ambao hatueleweki
 
Back
Top Bottom