ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,564
- 130,884
...wengi ni uchwara tu hakyanani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malaika ashuke kufanya nini tena
Usifananishe mashabiki uchwara na makada hata huku Liverpool kuna mashabiki uchwara wanaosikilizia upepo na sisi makada
Hivi na sikukuu yote hii mmegoma kuweka picha?