Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
ushaenda wewe kwa dhahabu😅Kwa mbali sawa
ushaenda wewe kwa dhahabu😅Kwa mbali sawa
OkJaman ni mods sio me😅😅Wametumia tu Id yangu kumuita
Tukijaaliwa uzima Na afya nitakaribia tuUkaribie siku pale
Ooh vizuri nadhan kuna sehemu kama ulihitajika nikaona nikutafuteJmni niko hapa dear
Mwenyezi Mungu ajalie tu🙏Tukijaaliwa uzima Na afya nitakaribia tu
Wap hapo na kuna nin?Ooh vizuri nadhan kuna sehemu kama ulihitajika nikaona nikutafute
Hapa Jamvin....Wap hapo na kuna nin?
Kumbe tusiokuwaa na watu tunaitiwa ee😆🤛🤛
Iliwahi kumuua mtoto nilikiwa namfahamu.. Naziogopa..View attachment 1664962
zana ya kazi[emoji23]
Anytime ukihitaji😅Kumbe tusiokuwaa na watu tunaitiwa ee😆🤛🤛
Daah pole yake...Iliwahi kumuua mtoto nilikiwa namfahamu.. Naziogopa..
Hapana Asante.aliyepo anatosha🥂🥂🥂Anytime ukihitaji😅
nishakuwa dalali
[emoji4][emoji4]Ila wew unavisa jmnHapa Jamvin....
Mkuu T 1990 ELY Alikuwa peke tukaona si vema awe peke ake tukamtafutia msaidizi [emoji28][emoji28][emoji28]
Amina..Daah pole yake...
Apumzike kwa Aman.
Hata Mwaka haujachanganya vizuri we tayari ushameza nyoka [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida yako si niruke kichura mtakatifu wangu..nitatumia hata ungo kurukia baharini
Huyo big anaonekana mlokole aisee umemuiba