Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.
umenitia Moyo..

Ngoja Mwaka huu nishone shone niongeze maujanja.
 
Nilijua tu unatania

Wadada ukweni wanavyokuwaga wapole yaani utasema malaika huyu hapa .
usinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kiremba jmn nilifika tu baba mkwe ananiita akanipeleka zizini nichague mfugo wa kuchinjiwa...sita isahau hyo siku nilichagua kondoo nikachinjiwa..nikapewa mawe nipange mafiga mtoto wa watu mimi sijawai pika ugali kwa mikono miwili toka niwepo jmn ila sikujali nilivua gaun langu nikaweka kando nikavaa dela nikapanga mafiga nikawasha moto nikatenga mboga uku mawifi na wake na mashemej wananiangalia tu jmn imagen sikuonesha hasira kbsaa nilipika yule kondoo then nikatenga sufuria la ya ugari kwenye kusonga ilikuwa kimbembe niktazama watu ni nyomi kishenzi wa 16 walikuwepo pale ukweli nilimuita mama mkwe nikamwambia tu ukweli siwezi kusonga ugari wa watu 16 wa watu kumi tu sijawai nilicho kifnya nilimfata kijan ake nikamwambia baby si unajua bdo naumwa eeh maan nilikuwa na wiki 2 toka nialibikiwe ujauzito ndo kamfata mama ake kumwambia hyu bdo anaumwa harusiwi kufanya kazi ngumu hahahahahsita sahau kwa kweli ukweni mkusikie tu hakunaga mazoea
 
Dada mkubwa naomba kujua.mlifanikiwa kufunga ndoa??tuachane na mapishi
 
Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo, tarumbeta n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.
Bado ni modern slave.
 
Herbalist
iamconboi___B-1ZcOSDj3O___.jpeg
 
Back
Top Bottom